Friday, March 28, 2014

BAADA YA KITAMBO KIREFU KUPOTEA HEWANI KWA BLOG HII,HIZI NDIO SABABU ZAKE

Ni muda mrefu umepita toka blog hii yakimichezo kupotea hewani ambapo kuna baadhi ya sababu zilizosababisha hiyo.....
..Kutingwa kwa majukumu ya kijamii zaidi ambapo muongozaji wa blog hii alikua katika majukumu mengine ya kiserikali ambayo yalimfanya hakose muda ya kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja na hata hivyo sehemu aliyoenda haikua na mtandao wakuweza kumudu shughuri za uendeshaji wa hii kitu....
Baada ya hayo kutokea,sasa blog yako ya kijanja imerudi tena kwa mara nyingine kwa lengo la kukuhabarisha kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu mchezo wa Jogging hapa Tanzania......Tuwe pamoja katika wanzo mwingine wa Burudani zakimichezo zaidi.....Asantenii sana na karibuni sana.

No comments:

Post a Comment