Sunday, December 30, 2012

KATIKA PICHA NI VIJANA WA TEMEKE KATA 14 WAKIWA KATIKA BONANZA LILILOFANYIKA MAPEMA LEO .




                                                                                     

VIJANA WA TEMEKE KATA 14 JOGGING WAMEFANYA VYEMA KATIKA BONANZA LILILOFANYIKA MAPEMA LEO KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS,KAWE



                 Katika picha ni vijana wa temeke kata 14 jogging wakiwa na Da Ummy ambaye ni mmoja wa wadau wakubwa wa kuendeleza Jogging hapa nchini.....                          

Saturday, December 29, 2012

DOVYA JOGGING WASHIRIKI VYEMA KATIKA BONANZA LILILOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA BIAFRA


 
Katika picha kulia aliyejishika kichwa ni katibu wa DOVYA JOGGING akiwa na vijana wake.....


Katika picha kulia ni Bi Rukia ambaye ni mmoja wa mwanajogging ya kunduchi.....na kushoto ni Bakari Itaka na wakatikati na Jabir,wakiwakilsha vyema katika bonanza lililofanyika katika viwanja vya biafra ambalo liliandaliwa na BIAFRA JOGGING.....Vijana wa dovya walifanya vyema katika bonanza ilo na kuacha gumzo katika umati mkubwa uliozulia katka bonanza ilo.....vijana hawa wanapatikana katika wilaya ya temeke,kata ya Makangalawe....

Friday, December 28, 2012

NASH MCEE AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUFUNGULIWA KWA BLOG YA TEMEKE KATA 14

 
 WANANGU WA TEMEKE JOGGING HONGERA SANA KWA KUFUNGUA BLOGU NA PIA KWA WATU KUONGEZEKA KWENYE MAZOEZI YENU!TEMEKE KAMA KAWAIDA!!KATA 14 NDIO NAPOWAKILISHA MIMI!

SIKU YA TAREHE 30/12/2012 VIJANA WA TEMEKE KATA 14 JOGGING WATAKUWA KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE


                       
Kwa taarifa zilizothibitishwa na moja kati ya viongozi wa temeke kata 14 Jogging kuwa siku ya jumapili watakuwepo katika viwanja vya tanganyika packers ambapo kutakuwa na bonanza litakalohusika mbio za pole na michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu,kuvuta kamba na kadharka,....sio vijana tuu wa temeke kata 14 pekeyao bali kutakuwa na jogging nyingine kama kunduchi jogging,kawe jogging.......
Mbio za pole zitaanza mapema saa moja asubuhi na baadaye michezo mingine itaendelea.,.Unakaribishwa kushiriki katika bonanza hiloo..

CHADEMA YAMTAKATA RAIS KIKWETE KUINGILIA KATI NA KUTOA TAMKO JUU YA MAANDAMANO YA MKOANI MTWARA

 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimemtaka rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kutoa tamko kuhusu swala la mradi wa kujenga bomba la gesi asilia kutoka mkoani Mtwara kuja jijini Dar es Salaam ili kuepusha sitofahamu na mandamano zaidi ya wananchi.

WOLPER ATOKEA KUKUBALI STYLE YA NYWELE YA SOLANGE KNOWLES

Muingizaji wa Filamu za bongo hapa nchini maarufu kama Wolper leo asubuhi kupitia katika mtandano aliweza kufunguka na kusema ametokea mara kwa mara kukubali sana style ya nywele ya mwanadada Solange Knowles. na unakuta kuna wakati anatumia muda mwingi kuweka nywele zake sawa ili ziwe na muonekano mzuri pale anapotoka out labda anapofanya shughuli zake za sanaa.

VANESSA MDEE KUCHUKUA UAMUZI WA KUTAMBULISHA NGOMA YAKE MWAKANI

Baada ya kufanya vizuri katika collabo mbili kati ya A.Y na Ommy Dimpoz aliweza kufahamika  na kupelekea mashabiki wengi kumkubali katika muziki wa Bongo Fleva,Sasa kama unakumbuka siku ziliyopita alifunguka katika ukurasa wake wa twitter na akasema kwamba anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku ya tarehe 26 mwezi huu lakini mpaka sasa kimya ni tatizo.
 Leo kupitia Double XXL aliamua kufunguka na kusema kwamba amekuwa na mambo mengi sana na ndiyo maana hakuweza kuitambulisha katika vituo mbalimbali vya ma radio ila anatarajia rasmi kuiachia mwakani mwezi wa kwanza tarehe 12.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Vanessa Mdee kaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwake.

Kevin Hart Presents New Year's Eve Block Party

Win tickets to the first event with BET.com!

Posted: 12/26/2012 05:06 PM EST
Since hosting BET Awards 2011, Kevin Hart has made it clear that he knows how to kick-off an event and have a good time. In celebration of the new year, the Grown Little Man himself presents yet another unique entertainment experience complete with bowling, music and comedy. Look no further than Kevin Hart's New Year's Eve Block Party, taking place on December 30 and 31.

Janet Jackson to Marry Billionaire Boyfriend

      Janet Jackson, Wissam Al ManaJanet Jackson may have sang the chart-topping jam "Let’s Wait Awhile" in 1987, but the wait is over for the music superstar and her billionaire boyfriend, Wissam Al Mana.
US Weekly is reporting that the power couple plans to wed in the spring of 2013 after Al Mana gave Jackson a ginormous engagement ring earlier this year.
"She's afraid it will get lost, so she keeps it locked up!" a source told US Weekly of the multi-million dollar rock.
Another insider that spoke to the celeb magazine revealed some details as to the planning of the lavish wedding. "He is flying in all of Janet's friends and family on private jets." That should be exciting given the penchant for things to get rowdy when the Jackson clan comes together under one roof.
A source close to Mrs. Jackson says that the twice married star is eager to make the third time the charm and start a family.
"She wants kids," says the source. "If she can't have them, she will adopt."
The couple became an item two years ago after Jackson split with music producer Jermaine Dupri in 2009.

PICHA ZA WAKAZI WA MKOA WA MTWARA WAKIWA KWENYE MAANDAMANO MAZITO YA KUPINGA GESI KUPELEKWA DAR.....

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi28DALh-j_V1ao6JfNeBMYcuiC8VAnuYhcaZv9GVdBKb26f0jXzynM5MYxSC0CCXKEbvLjND1FEvsHCUtIrOLuXZQeaZ073kYw3dRW48bE2onHBkhqqiD0DHaYhTO5ggIe96Yc_gSah5zT/s1600/DSC02565.JPGhttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2yrLrAxAizClO9THfX2fvFxg6ria2dnrqBqjeW3vTrkTXPl5jK1Ts9jU4z6B_MwqzbT7KA3kzpIYa8evIBKbmU4iDvd0XBcyNR-ao5VXFPMHUJYWwkJUfXPq7gmVQL9PdpOyBnlrU32GI/s1600/DSC02571.JPG

Baadhi wakazi wa mtwara wakiwa kwenye mkusanyiko katika moja ya kiwanja wakipinga gesi kwenda dar ....................                                                                                                                                                                               

HIZI NDIO STORI ZILIZOBEBA MAGAZETI YA LEO DEC 28 YA UDAKU MICHEZO NA HARDNEWS.


                                                                                                        






Thursday, December 27, 2012

HICHI NDICHO ALICHOKIANDIKA NASH MC a.k.a MPALESTINA KWENYE WALL YAKE YA FACEBOOK




UKIJARIBU HAYA MAMBO MAWILI SIO SIRI NTAKUKAMATA/KUTAKA KULEWA AU KUMUIBIA PASHA!!!!!!!

ANGALIA PICHA ZA VIJANA WA TEMEKE KATA 14 JOGGING WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA PICHA NYINGINE...





    



                             

KIJANA HUYU NDIYE MUONGOZAJI WA BLOG HII.ANAITWA NICHOLAUS ZINGO.....SOMA ALICHOKISEMA BAADA YA KUFUNGUA BLOG HII NA KWANINI ALIIPA BLOG HII JINA LA TEMEKE KATA 14..






Maisha yanaenda kasi sana.....wakati wa kutenda ukifika unatakiwa utende bila kujali mazingira ulikuwa nayo wakati uwoo.....uwo ni msemo ambayo napenda sana kuutumia mara nyingi kwasababu unaamsha hisia za kupambana na maisha hasa kwa sisi vijana wa leo ambawo tumejibweta sana katika kutafuta maendeleo......tuachane na hayo turudi kwenye mada yetu sasa.......

KWANINI NMEAMUA KUFUNGUA BLOG HII NI KWA SABABU..........
 SABABU 1. Ya kufungua blog hii ni kuitangaza wilaya ya temeke na vitongoji vyake....na ndo mana nikaipa jina la temeke kata 14......kwanza jina tuu limeshawakilisha vyema wilaya na kata niliyotokea...
SABABU ,.2. Kueleza mambo yanayopatikana temeke na hapa ndipo ntawaleza kuusiana kuwepo kwa makundi mbalmbal ya kimichezo mfano kundi la TEMEKE KATA 14 JOGGING, ambalo linaongozwa na mimi mwenyewe ambalo linahusiana na masuala ya michezo mbalimbali...
SABABU ..3.Sito ishia kuitangaza temeke tuu nitazidi kuvuka mipaka na hapa ntakuwa natoa habari za burudani mbalimbali na matukio makubwa yatayokuwa yanatokea duniani......

MWISHO....Wadau naomba mupokee ujio huu mpya wa hii blog.....na bila kusahau kutoa maoni na mapendekezo zaidi juu ya hii blog ,nini kiongezwe au kipunguzwe....tchaaoooooooooo

TUDD THOMAS ATAJA NGOMA AMBAZO ZIMEFANYA VIZURI KUTOKA KWAKE MWAKA 2012


 

Najua nikizungumzia ma producer wakali katika tasnia hii ya muziki hapa bongo basi Tudd thomas atakuwa katika list ya ma producer wanaofanya vizuri,sasa leo kupitia katika ukurasa wake wa facebook aliweza kufunguka juu ya ngoma ambazo anazikubali na zimefanya vizuri kwa mwaka huu 2012.