Friday, December 28, 2012

SIKU YA TAREHE 30/12/2012 VIJANA WA TEMEKE KATA 14 JOGGING WATAKUWA KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE


                       
Kwa taarifa zilizothibitishwa na moja kati ya viongozi wa temeke kata 14 Jogging kuwa siku ya jumapili watakuwepo katika viwanja vya tanganyika packers ambapo kutakuwa na bonanza litakalohusika mbio za pole na michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu,kuvuta kamba na kadharka,....sio vijana tuu wa temeke kata 14 pekeyao bali kutakuwa na jogging nyingine kama kunduchi jogging,kawe jogging.......
Mbio za pole zitaanza mapema saa moja asubuhi na baadaye michezo mingine itaendelea.,.Unakaribishwa kushiriki katika bonanza hiloo..

No comments:

Post a Comment