Thursday, December 27, 2012

KIJANA HUYU NDIYE MUONGOZAJI WA BLOG HII.ANAITWA NICHOLAUS ZINGO.....SOMA ALICHOKISEMA BAADA YA KUFUNGUA BLOG HII NA KWANINI ALIIPA BLOG HII JINA LA TEMEKE KATA 14..






Maisha yanaenda kasi sana.....wakati wa kutenda ukifika unatakiwa utende bila kujali mazingira ulikuwa nayo wakati uwoo.....uwo ni msemo ambayo napenda sana kuutumia mara nyingi kwasababu unaamsha hisia za kupambana na maisha hasa kwa sisi vijana wa leo ambawo tumejibweta sana katika kutafuta maendeleo......tuachane na hayo turudi kwenye mada yetu sasa.......

KWANINI NMEAMUA KUFUNGUA BLOG HII NI KWA SABABU..........
 SABABU 1. Ya kufungua blog hii ni kuitangaza wilaya ya temeke na vitongoji vyake....na ndo mana nikaipa jina la temeke kata 14......kwanza jina tuu limeshawakilisha vyema wilaya na kata niliyotokea...
SABABU ,.2. Kueleza mambo yanayopatikana temeke na hapa ndipo ntawaleza kuusiana kuwepo kwa makundi mbalmbal ya kimichezo mfano kundi la TEMEKE KATA 14 JOGGING, ambalo linaongozwa na mimi mwenyewe ambalo linahusiana na masuala ya michezo mbalimbali...
SABABU ..3.Sito ishia kuitangaza temeke tuu nitazidi kuvuka mipaka na hapa ntakuwa natoa habari za burudani mbalimbali na matukio makubwa yatayokuwa yanatokea duniani......

MWISHO....Wadau naomba mupokee ujio huu mpya wa hii blog.....na bila kusahau kutoa maoni na mapendekezo zaidi juu ya hii blog ,nini kiongezwe au kipunguzwe....tchaaoooooooooo

No comments:

Post a Comment