Friday, March 28, 2014

BAADA YA KITAMBO KIREFU KUPOTEA HEWANI KWA BLOG HII,HIZI NDIO SABABU ZAKE

Ni muda mrefu umepita toka blog hii yakimichezo kupotea hewani ambapo kuna baadhi ya sababu zilizosababisha hiyo.....
..Kutingwa kwa majukumu ya kijamii zaidi ambapo muongozaji wa blog hii alikua katika majukumu mengine ya kiserikali ambayo yalimfanya hakose muda ya kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja na hata hivyo sehemu aliyoenda haikua na mtandao wakuweza kumudu shughuri za uendeshaji wa hii kitu....
Baada ya hayo kutokea,sasa blog yako ya kijanja imerudi tena kwa mara nyingine kwa lengo la kukuhabarisha kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu mchezo wa Jogging hapa Tanzania......Tuwe pamoja katika wanzo mwingine wa Burudani zakimichezo zaidi.....Asantenii sana na karibuni sana.

Saturday, December 21, 2013

SIKU YA KESHO KUTAKUA NA BONANZA NDANI YA MBAGALA LILILOANDALIWA NA MBAGALA JOGGING.

Sunday, February 10, 2013

JOGGING ZA TEMEKE ZAZINDUA TCC CLUB (SIGARA) KWA MBWEMBWE ZOTE.......NA HIKI NDICHO KILICHOTOKEA .....

Hapo nipo na watu wangu wa nguvu kutoka Msakala JOGGING.......

Kwenye picha kushoto ni kiongozi wa Msakala JOGGING tukishow love baada ya kumalizika mechi katika bonanza .....na wa kulia ni mwanachama wa msakala jogging na wakatkat ni C.O wa temeke kata 14.blog

Katika picha kulia ni mwanachama wa msakala jogging akiwa na The President wa Pamoja Jogging ndan ya TCC CLUB...


 Kwenye picha kushoto ni kiongozi wa Pamoja JOGGING na wakatkati ni C.O wa temeke kata 14.blog na dada unayemuona hapo ni kiongozi wa Pamoja Jogging....ndan ya tcc club (sigara)

Hicho ni kikosi chamauwaji cha vijana wa temeke kata 14 JOGGING.....wakijiandaa na game .......

hawo ni vijana wa temeke kata 14 jogging wakishangilia goli,.......
Friday, February 1, 2013

ANGALIA BAADHI YA PICHA ZA WANACHAMA WA TEMEKE KATA 14 JOGGING WAKIWA KWENYE POZI BAADA YA MAZOEZI..


  
                                                                                                                                                                              Awo ni baadhi ya wanachama wa temeke kata 14 jogging wakiwa kwenye pozi baada ya mazoezi ya viungo na mbio za pole yalikuwa yakifanyika nyuma kidogo karibia na uwanja wa taifa siku ya jumapili iliyopita........

Tuesday, January 1, 2013

ALICHOKISEMA NASH MCEE KUHUSIANA NA MECHI YA LEO YA TEMEKE KATA 14 JOGGING NA KOMBANIA YA HAJI HARAMBE

                          

Mwanaharakati wa kuendeleza matumizi ya lugha ya kiswahili nchini Tanzania na moja kati ya wasanii wa mitindo ya HIPHOP hapa nchini..,mwenemajina rukuki, kama vile Nash Mcee,Mpalestina,Mchebe..Kijana huyo mwenye maskani yake katika wilaya Temeke,ameibuka na kutoa maoni yake juu ya mechi iliyochezwa leo katika viwanja vya shule ya msingi Madenge ambayo mechi iyo ilikuwa inahusisha vijana wa Temeke Kata 14 na Kombania ya Haji Harambe... Nash Mcee ameeleza kwa jinsi ye alivyoiona mechi ambapo ameeleza kusikitishwa kwake kwa  mchezo walicheza vijana wa Temeke Kata 14 Jogging kua walikuwa wanacheza lafu sana kuliko mpira mzuri..Lakini vilevile akusita kuwapongeza Wachezaji wake wa Kombania ya Haji Harambe kuwa wamecheza vizuri hadi kupekelekea kushinda magoli matatu kwa moja.....

MATOKEO YA MECHI YA LEO KATI YA TEMEKE KATA 14 JOGGING NA KOMBANIA YA HAJI HARAMBE