Tuesday, January 1, 2013

ALICHOKISEMA NASH MCEE KUHUSIANA NA MECHI YA LEO YA TEMEKE KATA 14 JOGGING NA KOMBANIA YA HAJI HARAMBE

                          

Mwanaharakati wa kuendeleza matumizi ya lugha ya kiswahili nchini Tanzania na moja kati ya wasanii wa mitindo ya HIPHOP hapa nchini..,mwenemajina rukuki, kama vile Nash Mcee,Mpalestina,Mchebe..Kijana huyo mwenye maskani yake katika wilaya Temeke,ameibuka na kutoa maoni yake juu ya mechi iliyochezwa leo katika viwanja vya shule ya msingi Madenge ambayo mechi iyo ilikuwa inahusisha vijana wa Temeke Kata 14 na Kombania ya Haji Harambe... Nash Mcee ameeleza kwa jinsi ye alivyoiona mechi ambapo ameeleza kusikitishwa kwake kwa  mchezo walicheza vijana wa Temeke Kata 14 Jogging kua walikuwa wanacheza lafu sana kuliko mpira mzuri..Lakini vilevile akusita kuwapongeza Wachezaji wake wa Kombania ya Haji Harambe kuwa wamecheza vizuri hadi kupekelekea kushinda magoli matatu kwa moja.....

No comments:

Post a Comment