Tuesday, January 1, 2013

TAARIFA YA MECHI KABAMBE KATI YA VIJANA WA TEMEKE KATA 14 NA KOMBANIA YA HAJI HARAMBE...

    TAARIFA KWA WAKAZI WA TMK.........
LEO JIONI TUKAKUWA NA MECHI YA KUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2013 KATI YETU NA KOMBANIA HAJI HARAMBE(VIJANA WA TEMEKE)......MECHI ITAANZA SAA 10 JIONI KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MADENGE.......UNAKARIBISHWA SANAA UJE UONE TUTAKAVYO WAFUNGA HAWA VIJANA...
Hawo ni vija wa temeke kata 14 jogging ambao leo watakuwa na mechi na vijana wenzao wa Temeke ambao ni kombania ya pamoja.......ukiwa kama mdau wa soka katika wilaya temeke na vitongoji vyake unaomba kufika na kuangalia burudani kabambe itakayoletwa na vijana hawa.....mpira utaanza mapema kama ilivyolezwa hapo juu ....mungu ibariki Tanzania,mungu ibariki Temeke kata 14 Jogging ishinde leo....NAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WASOMAJI WETU WA BLOG HII YA KIMICHEZO ZAIDI......SIKU NJEMA...                                                                       

No comments:

Post a Comment